GENERALI MUHAMMADU BUHARI
mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini nigeria,INEC,attahiru jega amemtangaza rasmi kiongozi wa chama cha upinzani cha nigeria,Generali muhammadu buhari kuwa rais wa taifa hilo kubwa barani afrika baada ya kumbwaga rais wa zamani goodluck jonathan
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni