Rais wa Marekani Barack Obama
amesema kuwa Hillary Clinton atakuwa rais bora na mwenye maono kwa nchi
ya Marekani. Bi Clinton anatarajiwa kutangaza hii leo kuwa atawania
uteuzi wa chama cha Democratic.
Kinyume na miaka minane iliyopita Bi Clinton anatarajiwa kuangazia zaidi jinsi wapiga kura wataandikisha historia kwa kumchagua kuwa mwanamke wa kwanza rais wa Marekani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni