MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII
TANGAZA NASI MATANGAZO YA KIJAMII BURE KUPITIA BLOG HII

Jumatano, 22 Aprili 2015

Zitto Kabwe ahitimisha ziara yake kwa kishindo Simiyu,Azungumzia mambo mawili muhimu

                                              Ndg Zitto akihutubia wananchi
Kiongozi chama cha ACT Wazalendo Ndg Zitto Kabwe amehitimisha ziara yake kwa kupokelewa na umati mkubwa wa wananchi wa Wilaya mbili za Bariadi na Maswa ambazo zipo kwenye mkoa wa Simiyu na kuzungumzia mambo mawili muhimu.

Mh zitto amesema chama chao kimelenga zaidi kwenye mambo muhimu katika jamii ambayo ni elimu pamoja na kumuinua mkulima wa zao la pamba hapa nchini.

Wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa Zitto
 

Msanii Afande Sele aliyeambatana na Zitto katika ziara yake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni