MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII
TANGAZA NASI MATANGAZO YA KIJAMII BURE KUPITIA BLOG HII

Alhamisi, 2 Aprili 2015

fast furious 7 yatazamiwa kuingiza dolla 1.39


furious7 inaweza kuingiza dolla million 119 za mauzo ya tiketi katika weekend yake kwanza na dolla million283 kwenye majumba ya senema nchini marekani na cannada kwa mujibu wa office.com

Hivyo kufanya fast&furious kuwa fillamu ya mfululizo yenye mafanikio kuliko zote ,kwa pamoja fillamu sita za kwanza ziliingiza dolla billion 2.38 ambaye wolker alifariki akiwa na umri wa miaka 40 kwa ajari ya garo november 2013

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni