Polisi katika jimbo la Victoria
nchini Australia wanasema kuwa wamewakamata wanaume watano kufuatia
oparesheni kubwa ya kupambana na ugaidi kwenye mji wa Melbourne.
Mshukiwa mwingine naye alikamatwa kufuatia sababu zinazohusiana na silaha. Shughuli za kuwatafuta washukiwa wengine zinaendelea sehemu zingine za mji wa Melbourne.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni