Runinga nchini Iraq imeripoti kuwa
Izzat Ibrahim al-Douri, ambaye wakati mmoja alikuwa makamu wa Rais
Saddam Hussein na mmoja wawaanzilishi wa kundi la Islamic State nchini
Iraq, ameuawa.
Iwapo taarifa hiyo ni kweli, kifo chake kitakuwa hatua kubwa kwa serikali ya Iraq dhidi ya makundi ya Jihadi.
Al Douri ambaye daima ana masharubu mekundu, alikuwa mfalme katika kilabu kwenye kadi zilizotolewa ili kusaidia majeshi ya Marekani kutawambua wanachama katika utawala wa Saddam Hussein, mnamo mwaka 2003.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni