Wanamgambo wa Islamic State wametoa
kanda ya video kupitia kwa mtandao ikiwaonyesha wakiharibu maeneo ya
thamani kubwa kwenye mji wa Nimrod nchini Iraq.
Wanamgambo hao hutumia tinga tinga na milipuko kuharibu mji huo ambao wakati mmoja ulikuwa ni mji mkuu wa himaya ya Assyrian.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni