MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII
TANGAZA NASI MATANGAZO YA KIJAMII BURE KUPITIA BLOG HII

Ijumaa, 24 Aprili 2015

David Petraeus alitoa siri za Jeshi

Mkuu wa zamani wa Shirika la kijasusi nchini Marekani, David Patraeus


Jaji wa mahakama ya jimbo la North Carolina nchini Marekani amemhukumu mkurugenzi wa zamani wa shirika la kijasusi la CIA, Jenerali David Petraeus kwa makosa ya kutoa siri za kijeshi kwa mpenzi wake.
Patraeus ametakiwa kulipa fine ya dola za kimarekani lakimoja.
Awali Jenerali huyo alikana kufanya makosa hayo lakini baadae alikiri kutoa taarifa hizo kwa mpenziwe Paula Broadwell ambaye alikuwa na uhusiano nae wa kimapenzi alipokuwa Mkuu wa CIA.
Mwandishi wa habari jijini Washington amesema kuwa inaaminika kuwa Petraeus ataendelea na kazi yake ya sasa ya Mshauri wa maswala ya usalama Ikulu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni