Duniani kuna mambo, kuna vibweka na vibwakuro pia , twende sawa,Kang Hu,
mwenye umri wa miaka 33,aliwashtua wageni waalikwa siku ya harusi yake,
pale alipoamua kuwaomba radhi wakiwemo familia yake na bi harusi Na
Sung,mwenye umri wa miaka 30,kwa kumwambia dhahiri shahiri kuwa ana sura
mbaya na hafai kuolewa.
Bwa harusi akiopolewa
Bwana harusi harusi huyo alikanganyikiwa mara baada tu ya kumwona bi harusi wake kwa mara ya kwanza na kujaribu kujitosa majini.
Mara
akaamua kutoka eneo la tukio, kwenye ukumbi wa sherehe katika mji wa
Shiyan mji ulioko nchini China jimbo la Hubei na baadaye alioneka
akitembea kando ya mto akiwa na mawazo meeengi,mto ambao alijirusha
ndaniye mara moja.
Bwana harusi amekwisha opolewa,hoi tepe tepe.
Pal Chan Wang alisema kwamba : familia ya bi harusi
ilivurugikiwa,familia ikashikwa na ghadhabu,na famia matamshi yake .
Kang
alikuwa na uchaguzi wa bi harusi amtakaye na alikuwa akilazimishwa
kumuoa bi harusi huyo, ndo alipoamua kumfanyia kituko hicho.
Wapiti njia ndio waliomgundua Kang mtoni ndipo walipowaita polisi na kuharakisha kushuka mtoni kumuopoa.
lia ya mwanaume yao
ikafura na marafiki zake walifadhaika mnoo kw
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni