Viongozi wa vyama vitano vya siasa
nchini Uingereza wameshiriki katika mdahalo ulioonyeshwa moja kwa moja
katika televishen ambao ulilenga maeneo mhimu katika harakati za
kuijenga Uingereza.
Mwandishi wa BBC kuwa katyika mdahalo huo hakukuwa na mshindi,kwani hayo siyo yalikuwa malengo ya mkusanyiko huo,bali fursa ya kubainisha mamabo ya mhimu na kwamba hata baadhi ya vyama vidogo vingeweza kushiriki.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni