MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII
TANGAZA NASI MATANGAZO YA KIJAMII BURE KUPITIA BLOG HII

Ijumaa, 10 Aprili 2015

SANAMU YA RODE'S YANG'OLEWA


Sanamu la Cicil John Rhodes aliyewahi kuitawala Cape Town, imeondolewa katika chuo kikuu cha Cape Town, Afrika kusini.
Hatua hiyo imekuja bada ya wanafunzi Wa chuo hicho kuandamana mwezi uliopita wakitaka pawepo mfumo mpya wa mabadiliko katika vyuo vikuu vya Afrika Kusini.
Sikiliza taarifa ya Omar Mutasa Kutoka Johannesburg.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni