MMILIKI WA BLOG HII
Jumapili, 17 Mei 2015
RAIS NKURUNZIZA AWAHUTUBIA WANAHABARI MJINI BUJUMBURA
RAIS Pierre Nkurunziza wa Burundi amewahutubia wanahabari mjini Bujumbura ikiwa ni mara ya kwanza tangu arejee nchini humo akitokea Tanzania baada ya jaribio la kutaka kumpindua kukwama.
Rais huyo alirejea Burundi juzi Ijumaa ikiwa ni siku mbili tangu jaribio la kutaka kumpindua kugonga mwamba.
NA MWANDISHI WETU
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni