MMILIKI WA BLOG HII
Jumamosi, 23 Mei 2015
MKUU WA WILAYA YA BARIADI AMBAYE NI DC KAIMU MASWA MKANI SIMIYU AMALIZA ZIRA YAUGAWAJ CHANJO
Zoezi la ugawaji wa dawa za kuzuia minyoo na kichocho katika wilaya ya maswa mkoani simiyu limeelezwa kufanikiwa kwa kiwango kikubwa
Akizungumza na kituo sibuka katika kipindi cha pepeta afrika amesema katika uzinduzi wa kampeni hiyo kwa shule za msingi kaimu wa wilaya ya bariadi mh, Pansiano Damiano nyami pamoja na changamoto zilizopo sehemu kubwa zoezi hilo limefanikiwa
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni