Mwalimu mstaafu wa Sekondari na Mjumbe Mwelimishaji wa Chama
cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Wazazi Tua Moyo Ali Ahmad kwa jina
maarufu mpemba wa Asili, akisoma shairi wakati wa Mkutano wa Hadhara
ambapo Mgeni Rasmi ni Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine
Ndugulile.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjn76ggCRiXaOCAgT3ohSmEJwefpUhmyiXvydNfEW_tA-SKpKeU_QUIm14CVPB8laQOaN1Rv2ZxXYhY5umIf2St-6MsM3fjHlH2Bw1utdt_LjnechhLGNY4s2aFxPLjCijlhHC9BatvMasA/s640/2+(2).JPG)
Dk. Faustine Ndugulile
akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Kigamboni na
Katibu Kata wa chama hicho kabla ya kuanza mkutano.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjB9j9N6Eu0CgQdoPXxp68RFefBoznMZXHn-305-QWbgu5NWJKec7Jc2QgLMPZxnJHN0_q1dC_TDwJ1DFLw0MMeNjpaAyU8glssaQrOzmM_2njB5KiwU7nrMsEGN0VHSiF9_8FzmNZNcn7N/s640/2+(4).JPG)
Wananchi na wanachama wa
Chama cha Mapindizi (CCM) wakishangilia wakati mbunge wao alipokuwa
akipanda jukwaani katika Uwanja wa Tuwa Moyo Kigamboni.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1D95zaAmdBXM0Vz-WN6NbMyjq7kOCTHXGOnF7SkKYHt0tz13mZYGIDDPz6f_ZBGh3QYro8DEfd024P1zVdeTjJZKeZFDMjD8oUP6JP2cCMuFlc73opGLK2sKPy_91o45u8O8xCo7hO7br/s640/2+(8).JPG)
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi Kata ya kigamboni na Katibu Kata wa chama hicho akiongea na
wananchi wakati wa mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Kigambo ni Faustine
Ndugulile.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8D7z2OuF16uFvyZzc7s9QOEujXRsnMJR2Lg3zLzz6pE8Me3e4SrFo6eljQkVpI8eN8peb_xcn2DIAcEhuL3RKJ7K5hpgF5pmC0-Q_uoL0D9LwR5OBUMPqE6qlKq-GwQPjxaNljXRl2zKW/s640/2+(6).JPG)
wananchi wakifurahia jambo wakati wa mbunge wao Dk. Faustine Ndugulile alipokuwa akizungumza na wananchi hao.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEig4yWHcvz6JVN7hGcPav41Jmhjqb_Le6Upx47sRqZI4Inw90E_WfeFH0rhGVl-OwfwhdPmVPXsm_wb6bVr0DQID9Msmlv_Rs4MTBsgHwGfJy-5YgrXbAEaTdGWhoDDhpipspi-bokaIoux/s640/2+(9).JPG)
Dk. Faustine Ndugulile
akizungumza na wanachi wakati wa mkutano huo na akiwaomba wananchi
kujitokeza kwa wingi katika Daftari la Wapigakura wakati ukifika.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiv7lYFrSQh7G3gNztWk8HfFDOivO_x01n1BdZpbvIPAS-mbtrHot7-yF_tSzo07fxLXO3ImikFkWthQLgxiRYepD6CHDiBtPjTpMB-cVu1lXJSbV_klyHxIQoAAMBAhqOhW278SYi8QSXf/s640/2+(10).JPG)
Mzee Muhamedi Selemani mwenye
miaka 95,ambaye ni mlemavu wa macho akitoa malalamiko yake kwa mbunge,
wakati wa mkutano huo, anapokonywa mashamba yake na mwekezaji na
akiomba asaidiwe.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh_kfhAJHVE8Nx8hbjn_HV5D4oFih7T9e3BtpH6OubQYBYIm_Osz7ZqwyW6VTyvNZrYppE_6C8Kc24zMf8x-24Fk0tqCcOOw7v1_SWGscn4mnxvMqaw1SeTN2VaezfhJ1KZoWTqJZv5sJ8f/s640/2+(15).JPG)
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni
Dk. Faustine Ndugulile akizungunza na Mamia waliojitokeza katika
mkutano wa hadhara ulio fanyika Kigamboni Dar es Salaam jana.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEheiidfCwIiEK5nFdFAJ4naAtflnN1kUY5tlcxMpNsHZPNesU1CoXGUCVsc5KFAxnj_EBWPy1lEshhwy1Q37NtSuGZScEckIPrFWxQnMGR3fd39i-0wybrly2FU79OQuSrUnZj0VDRa8vvC/s640/2+(13).JPG)
Wanachi wakiwa katika mkutano
huo wakifatilia maongezi ya Mbunge wao Dk. Faustine Ndugulile, wakati
wa mkutano wa hadhara ulio fanyika Dar es Sallam jana.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhGe-crZhSt0LtPtNK8p_qJvBzlOeMu8ym93hNj7gxDKUfrF_1pMiwJNWKIg20gLexMvNkkjiAwRkXc0elJjmd4TKHq4VQhAbP6UIKnMnOWs9vIPy2Hsimz0jVoiI8t1pE-lIE0QfV87Jk-/s640/2+(17).JPG)
Dk. Faustine Ndugulile
akitimiza ahadi yake kwa vikundi kumi na mbili vya ujasiliamali ambavyo
kila kimmoja kimepata pesa taslim.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhe4u6R81YA_EcWPolj2njGaAEIOwcEs6hhuJveTQ4ie-RfH3g4LxvDGdfM_KQm9jm2VsfvCDoHiN6z2BTzLHJnlRj4g2SGL1y6MsBYoj3GLOPMq-4BYmYULDq0vMIbL9tJw1zUsr12ZTgt/s640/2+(20).JPG)
Dk. Faustine Ndugulile
akizawadiwa sare ya kitenge na muweka hazina wa kikundi cha Jitegemee
Vikoba Group Happiness mfinanga wakati walipokuwa wakipewa mchango wao
wapesa Taslimu kutoka kwa Mbunge huyo wakati wa mkutano huo (kulia) ni
Mwenyekiti Tungi Kata ya Kigamboni Joram Msuya.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcESlBJAUe-uJGF5-W_Cvpnk6AmkuVtcM0iwQTT4YGxDnZKevz8UkfsupY6GN-MAhdlSHHAv0S2-Xsrn5Jy6CubBMUHcLPN7bkvgXYZzi_CQLH1-g2lewnLv4mQ71_Kl2Ku9J7y8QPx9v3/s640/3.JPG)
Dk. Faustine Ndugulile
akisalimiana na Mkuu wa Kituo cha Kigamboni Jumanne Njoka baada ya
mkutano kumalizika, amaba mkuu huyo wakituo alifika na wasaidizi wake
kutowa ushirikiano wa usalama wakati wa mkutano wa Mbunge Ndugulile
alipokuwa akizungumza na wananchi dar es Salaam jana.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqfifHbQ_ImfO7NzD87D_VHPqtQFO8WorF2hfff9SNXcaY2NgapQ-tKlo9uVAaFsejhWBS57gvktk-RoiRcUq9MKaVr_NG7a0P_rt06J0ZdhDKKgHcK3cr6cktcv_fHRJvQXb9JOgQEfX7/s640/2+(23).JPG)
Dk. Faustine Ndugulile
akipongezwa na wanakikundi cha Jitegemee Vikoba Group wakati walipokuwa
wakipewa mchango wao wapesa Taslimu kutoka kwa Mbunge huyo wakati wa
mkutano huo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni