KAMANDA
wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jafari Ibrahimu amesema Basi la Dar Express
lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Arusha, leo mchana limeteketea
kwa moto eneo la Kwamakocho, Kijiji cha Kimange, wilayani Bagamoyo,
Mkoa wa Pwani.
Eneo la Kwamakocho lipo katikati ya eneo la Mandela na Mbwewe mkoani Tanga.
RPC Jafari Ibrahimu amesema chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na akasema uchunguzi unaendelea.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni