Viongozi wa Kijiji cha Mavanga akiwemo mwenyekiti wa
kijiji, Bw. Hilmar Mpambichaka (Chadema) kulia wakipokea misaada ya
vifaa vya ujenzi toka kwa mbunge Filikunjombe kushoto.
Wananchi wa Mavanga wakiwa wamepanda juu ya magari na miti kumwona mbunge Filikunjombe .
Wananchi wakiwa juu ya miti wakifuatilia hotuba ya mbunge wao Deo Filikunjombe .
Mbunge Filikunjombe akifurahia jambo wakati mkazi wa Mavanga akimtaka kuwa mbunge hadi atakapochoka yeye.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAnByELLmO9dl_SAlLjW_9q-6qU46N2iXwXJczDnOWxu_2uPy5HfvEMFcwUxYjZ2know7i6R8kdoRMYq6N2M5wwp7tImnsLabT08P2ZNSg5XgZu7VnJFNBHOD1y-9BqAw_w-Sfhx1fmVHq/s640/DSC_0103.JPG)
Mwanahabari wa kituo cha Radio Best Ludewa Deo Nyoni akiwa makini kufuatilia matukio
Wananchi wa Mavanga wakiwa wamebeba kitanda cha kujifungulia wanawake wajawazito kilichotolewa na mbunge Filikunjombe kitanda chenye thamani ya Tsh milioni 5.2
Mwenyekiti wa kijiji Cha Mavanga Bw Hilmar Mpambichaka ( Chadema )akimpongeza mbunge Filikunjombe kwa misaada yake
Paroko wa kanisa la Anglicana kushoto akipokea msaada wa bati 300 kutoka kwa mbunge Deo Filikunjombe
Mbunge Filikunjombe kati akikabidhi saruji kwa ajili ya shule ya msingi kijiji cha Mavanga
Saruji iliyotolewa na mbunge Filikunjombe Mavanga
Mbunge Filikunjombe akikabidhi kitanda cha wanawake wajawazito kujifungulia
Mbunge Filikunjombe akiwakabidhi wajawazito kitanda cha kujifungulia
Mwenyekiti wa kijiji cha Mavanga Bw Hilmar Mpambichaka ( Chadema )akiwa amepokea msaada wa Darubini toka kwa mbunge Deo Filikunjombe
Filikunjombe akiwahutubia wananchi wa Mavanga
Wananchi Mavanga wakiwa katika foleni ya kuuliza maswali na kumpongeza mbunge wao
Mbunge Filikunjombe akimkabidhi mpira kijana wa Chadema kijiji cha Mavanga
Kijana wa Chadema akimpongeza mbunge Filikunjombe
Wananchi Mavanga wakimkabidhi zawadi ya kuku mbunge wao Filikunjombe
Mbunge Filikunjombe akipokea zawadi ya mbuzi toka kwa vingozi wa kanisa la Anglicana baada ya kuwasaidia bati 300 za ujenzi wa kanisa
Mwenyekiti wa kijiji cha Mavanga Bw Hilmar Mpambichaka ( Chadema )akimongeza mbunge Filikunjombe
Filikunjombe akizungumza na mlemavu aliyefika katika mkutano wake
Wananchi wa kijiji cha Mavanga wakiwa wamembeba mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe
Msafara wa mbunge Filikunjombe kijiji cha Mavanga
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akiwapungia mikono wananchi wa kata ya Mavanga
Waendesha boda boda wakiongoza msafara wa mbunge Filikunjombe kwa mbwembwe
Mbunge Filikunjombe akiwasikiliza wanafunzi katika kijiji cha Mavanga
Mbunge Filikunjombe akicheza mpira na wanafunzi hao baada ya kuwapa msaada wa mpira na sukari kwa mwaka mzima
Wasanii wa ngoma katika kijiji cha Mavanga wakishiriki kupiga ngoma na mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe kushoto
Katibu mwenezi mkoa wa Njombe Honoratus Mgaya akishiriki kucheza ngoma

Mbunge Filikunnjombe na katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Njombe Bw Mgaya wakicheza ngoma
MBUNGE wa jimbo la Ludewa
mkoani Njombe Deo Filikunjombe asema baadhi ya wabunge ,mawaziri na
watendaji wabovu serikalini wanakichafua chama cha mapinduzi ( CCM )
Filikunjombe alisema kuwa Ccm ni chama makini na kinachopendwa sana
ila shida ipo kwa baadhi ya watu waliopo ndani ya Ccm na serikali ni
bomu
mbunge huyo alitoa kauli hiyo leo katika kijiji cha Mavanga wakati
akijibu maswali ya wananchi na viongozi wa vyama vinavyounda katiba ya
wananchi ( Ukawa) kuhusiana na Ccm kuwateulia wananchi viongozi wasio na
sifa kugombea nafasi mbali mbali.
Alisema kama kila mmoja angetimiza wajibu wake katika nafasi yake
hakuna mpinzani ambae angechaguliwa ila kuchaguliwa kwa wapinzani ni
kushindwa kwa wale waliowaamini kutoka Ccm kushindwa kuwajibika kwa
wananchi waliowaamini
Filikunjombe alisema atakuwa
mbunge wa mwisho kunyoshewa kidole na watanzania wakiwemo wananchi wake
wa Ludewa kwa kushindwa kuwatumikia wananchi na chama chake cha Ccm .
Kwani alisema hakuomba ubunge
kwa ajili ya kujinufaisha binafsi ila aliamua kugombea ili kuwatumikia
wana Ludewa kwa kuwapelekea maendeleo hivyo Kazi Yake kwa sasa hadi
mwisho wa ubunge wake ni kuleta maendeleo kwa wananchi wake na kuona
ahadi zake zinatimia kwa muda uliopangwa na si kujinufaisha kwa wakati.
" Naomba kwanza mtambue kuwa
wabunge wote tulipo fika bungeni kwa mara ya kwanza tulikopeshwa Tsh
milioni 90 kwa ajili ya kununua gari la kutembelea na Mimi kwa kuwa
nilikuwa na gari pesa hizo niliamua kununua gari la wagonjwa Mlangali
ambao hawakuwa na gari la wagonjwa ....lengo langu kutumikia wananchi na
kuwatatulia kero zao si vinginevyo"
Akielezea msaada huo wa vitu mbali mbali vyenye thamani ya Tsh
milioni 40 alivyotoa alisema ni pamoja na kitanda cha kujifungulia
wajawazito chenye thamani ya Tsh milioni 5.2,Darubini ,pesa ya taslimu
Tsh milioni 1 bati zaidi ya 500 ,rangi debe 20 ,saruji zaidi 525 na
vifaa vingine vingi kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa miradi mbali mbali
ya kijiji na ujenzi wa makanisa,shule na wodi la wazazi
Awali viongozi ukawa wa kijiji
cha Mavanga kata kata ya Mavanga walimpingeza mbunge Filikunjombe kwa
kuwa mbunge wa mfano Ludewa japo wapo viongozi wengi ndani ya chama
chake ni wabovu.
Mwenyekiti wa Ukawa Mavanga
John Mligo akishukuru kwa msaada huo wa vifaa na fedha toka kwa mbunge
Filikunjombe alisema kama wabunge na viongozi wote wangefanya kama
Filikunjombe kamwe wananchi wasingechukia chama hicho.
Akizungumza katika mkutano huo
mwenyekiti huyo wa Ukawa na mwenyekiti wa serikali ya Kijiji cha
Mavanga Bw Hilmar Mpambichaka ( Chadema ) walisema wao kama viongozi wa
upinzani hawana shaka na uwakilishi wa mbunge Filikunjombe ndani ya
jimbo hilo na nje ya jimbo hilo
" Tumekuwa na wabunge 7 ambao wametangulia kabla ya Filikunjombe
ila uwakilishi wake umekuwa wa kuigwa na wabunge wengine na kama wabunge
kote nchini wangekuwa watendaji hivyo huenda upinzani nchini
usingekuwepo"alisema Mligo
Kwani alisema kuwa Chanzo cha kijiji hicho kuchagua mwenyekiti wa
Serikali ya kijiji kutoka Chadema ni baada ya viongozi wa ccm kuonyesha
kuwa mbali na wananchi na baadhi Yao kutafuna pesa za michango ya
wananchi .
Bw Mligo alisema shida ndani ya Ccm ni vita ya wenyewe kwa wenyewe
ndio ambayo imekuwa ikiwachanganya wananchi na kujikuta wananchi
wanaingia katika mgawanyiko na kuchagua wapinzani
Alisema wakati wa kampeni hata wasio na sifa wanataka kuchaguliwa
kwa kutumia rushwa ,hivyo kutaka kwa Ludewa kutambua wazi mbunge
anayekubalika ni Filikunjombe pekee na kuwa hawahitaji mtu zaidi ya
mbunge wao aliyewavusha katika maendeleo
Huku mwenyekiti wa serikali ya kijiji hicho Bw Mpambichaka
akiwataka wananchi wa Ludewa kuacha kuonja sumu kwa kubadili wabunge na
kuwa utendaji wa Filikunjombe hakuna wa kumfananisha nae
Alisema kuwa wamepata kushuhudia utendaji wake ndani ya bunge
kupitia kamati ya PAC kwa kupambana na ufisadi kupitia Escrow na
kuwafanya mawaziri zaidi ya watatu kujiuzulu
Pia kupitia utendaji wake
ndani ya jimbo amefanikiwa kuwavuta wana Ludewa ambao siku zote walikuwa
wakiona aibu kuweka wazi kuwa ni wakazi wa Ludewa na badala Yake
kudanganya kuwa wao ni wazaliwa wa Mkoa wa Ruvuma kutokana na awali
Ludewa kuwa nyuma kwa maendeleo .
" Toka Filikunjombe ameingia
madarakani mwaka 2010 na kuwepo kwa kasi ya maendeleo ndio tunashuhudia
wana Ludewa wakirejea Nyumbani na kujitangaza kuwa wao ni wakazi wa
Ludewa tofauti na zamani wengi walikuwa wakijificha kwa aibu "
Hata hivyo alisema wapo
wabunge ambao wamekaa majimboni muda mwingi kama akina Mzindakaya huko
Sumbawanga ila siku zote ni mtu wa kueleza jinsi alivyofanya Kazi na Mwl
Julius Nyerere ila si kujipambanua namna gani alivyoleta maendeleo
jimboni
Kuhusu misaada mbali mbali
iliyotolewa na mbunge huyo kijijini hapo mwenyekiti huyo alisema kwa
mara ya kwanza toka wabunge 7 waliopita kijiji hicho kimepata kupata
misaada mingi kutoka kwa mbunge
Na MatukiodaimaBlog
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni