Wahamiaji Afrika kusini
Mahakama nchini Afrika Kusini imeizuia kwa mda serikali ya taifa hilo kutowarudisha makwao wahamiaji waafrika 300.Mamia ya wahamiaji wasio na vibali wamekamatwa katika msako uliofanyika usiku wiki za hivi karibuni.
Hii inafuatia msururu wa ghasia dhidi ya wageni ambapo watu saba waliuawa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni