MMILIKI WA BLOG HII
![MMILIKI WA BLOG HII](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEioJosCtL5AMW049G1itZa7ioxkomGEwdqEeE01jrFiJkVfuX7zpogR2w2qm9UCevSEl3A4arxjafKTzqZZ74ciUIhs0eF5WEEfte06QeXxnzXL2WmL6fMAtwJOm1hlg3r_SK4H8Q9Zbpg/s1600/Picture1.jpg)
TANGAZA NASI MATANGAZO YA KIJAMII BURE KUPITIA BLOG HII
Alhamisi, 26 Machi 2015
UN YAADHIMISHA KUMBUKUMBU YA WAATHIRIKA WA BIASHARA YA UTUMWA
Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akisoma
hotuba ya ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon
kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na
biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki.
Mshauri wa Masuala ya Haki za Binadamu wa UN nchini Tanzania,
Chitralekha Massey akizungumza na vyombo vya habari katika maadhimisho
ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake.
Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Bi. Usia Nkhoma akiwasilisha
mada kwa washiriki wa maadhimisho ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa
na biashara zake.
Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akizungumza na vyombo vya habari
kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na
biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki.
Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka
waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya
Atlantiki, wakifuatilia mada anuai.

Atlantiki, wakiangalia picha anuai zinazoelezea juu ya biashara ya
utumwa
Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akizungumza na baadhi ya vijana
kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na
biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki.
Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka
waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya
Atlantiki, wakizungumza na vyombo vya habari.
Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka
waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya
Atlantiki, wakiangalia filamu ya mafunzo kwenye maadhimisho
hayo.[/caption]
Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka
waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya
Atlantiki, wakifuatilia mada anuai
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni