Mahakama ya Malaysia imemkuta na
hatia ya mauaji mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya wanafunzi wawili wa
udaktari kutoka nchini Uingereza.Mauaji hayo yanadaiwa kufanyika August
mwakajana katika kisiwa cha Borneo.
Kwa mjibu wa hukumu hiyo ya mauaji, Abbdullah atanyongwa hadi kufa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni