Mtoto
anastanzia kutoka wilayani maswa mkoani simiyu ana umri wa miaka miwili
na anasumbuliwa na tatizo hili kwa takribani mwaka mmoja sasa na kwa
mujibu wa madactari kutoka bugando wanasema mtoto huyu ana matundu
matano kwenye moyo wake hivyo anahitajika kwenda india kwa matibabu
mwezi April mwaka huu Hivyo msaada wako wewe kama mwananchi unahitajika
msaada wako wa kifedha na pesa inayohitajika ni shl. 1,500,000 (milion
moja na nusu) na kwa sasa tayari amekusanya shl 7,00000 (laki saba tu).
hivyo bado shl, 8,00000 (laki nane )
Kwa mawasiliano au kwa njia ya m pesa au Airtel money
M.PESA.. 0769397462
AIRTEL MONEY 0682151410
Msaada wako unahitajika kuokoa maisha ya mtoto anastanzia
KUTOA NI MOYO SIO UTAJIRI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni