MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII
TANGAZA NASI MATANGAZO YA KIJAMII BURE KUPITIA BLOG HII

Jumamosi, 11 Julai 2015

TATU BORA ILIYOPITISHWA NA NEC



KIKAO cha Halmashauri Kuu YA Taifa (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni: 1) John Magufuli 2) Asha-rose Migiro 3) Amina Salum Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kuwasilishwa Mkutano Mkuu wa Taifa ili kupata jina moja (1) la mgombea Urais 2015.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni