Raisi Uhuru kenyatta
Mkutano wa wajasiriamali umeanza katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini Nairobi huku Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akihutubia mkutano![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4h32CIG30HWFIdIRGjeUIfq1Y07LNEPdvOi2VbsOADcGqgAobngfuJsE-g3LEccNZzqD6a8MZ7x5t6sODs8JJiYRLyCzhUFD6_M_i-wHfCf7wpeXX7O-vjN5RsGjnNqY8R3decwbN8_E/s400/PIIIIIIIIIIIIIIPA.jpg)
Ndege za kijeshi za kenya![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4h32CIG30HWFIdIRGjeUIfq1Y07LNEPdvOi2VbsOADcGqgAobngfuJsE-g3LEccNZzqD6a8MZ7x5t6sODs8JJiYRLyCzhUFD6_M_i-wHfCf7wpeXX7O-vjN5RsGjnNqY8R3decwbN8_E/s400/PIIIIIIIIIIIIIIPA.jpg)
Msafara wa magari wa raisi Kenyata katika eneo la Gigiri
Barabara
Waandishi wa habari
Barabara nyingi za mji wa Nairobi zimeonekana kuwa bila
watu na magari kufuatia kuwasili kwa rais Obama.Mapema
leo maafisa wa polisi walionekana katika barabara
zinazoelekea katika eneo la Gigiri ambapo rais Obama
atafungua rasmi kongamano la kibiashara.
chanzo bbc
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni