MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII
TANGAZA NASI MATANGAZO YA KIJAMII BURE KUPITIA BLOG HII

Alhamisi, 27 Agosti 2015

PICHA ZA MUUAJI WA WATANGAZAJI MAREKANI ALIEJIUA

MAREKANI (1)
Mtangazaji wa kituo cha  TV WDBJ, Alison Parker, enzi za uhai wake.
MAREKANI (9)
Mpiga picha, Adam Ward, enzi za uhai wake.
MAREKANI (5)
Watangazaji waliouawa (kushoto na kulia) wakiwa katika mahojiano ya moja kwa moja kabla ya kupigwa risasi na Vester Lee Flanagan.
MAREKANI (8)
...Vester Lee Flanagan akifyatua bastola yake.
NATIONAL PICTURES Scrren grab of suspected shooter involved in the shooting dead a camerman and reporter live on air. Cameraman Adam Ward and reporter Alison Parker were shot dead during a live broadcast at Bridgewater Plaza near Smith Mountain Lake, USA.                         Flanagan  akiwa ameshika bastola wakati akifanya mauaji hayoMAREKANI (12)
...Gari la Flanagan limepaki katika jimbo la Virginia baada ya kujiua mwenyewe.
MAREKANI (13)
Polisi wakiwa eneo la tukio.
MAREKANI (14)
Eneo ambalo watangazaji walipokuwa wakiendesha kipindi hicho.
MAREKANI (15)MAREKANI (16)
Wananchi wa jimbo la Virginia wakiwaombea marehemu hao.
Polisi nchini Marekani imesema muuaji wa waandishi wawili wa kituo cha TV WDBJ, Alison Parker na mpiga picha, Adam Ward nchini Marekani amefariki. 
Ujumbe unaoonekana kutumwa na mtu aliyekuwa na silaha nchini Marekani na kuwaua kwa risasi watangazaji hao wawili wa televisheni wakati wa matangazo ya moja kwa moja unaashiria kwamba alikuwa na uchungu kwa kinachoonekana kuwa ubaguzi wa rangi

NA mwandishi wetu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni