MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII
TANGAZA NASI MATANGAZO YA KIJAMII BURE KUPITIA BLOG HII

Jumanne, 19 Mei 2015

MANISPAA YA KINONDONI YAENDELEA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS LA KUONDOA MAJI KWENYE MAKAZI YA WATU

RAIS WA MSUMBIJI FELIPE JACINTO NYUSI ALIHUTUBIA BUNGE DODOMA


Wakulima wa Pareto waanza kutembea kifua mbele


Wabunge wa Ukawa waikalia kooni Ikulu


Mwanaharakati ajifunga nyororo katika chumba cha dharura

Mwanaharakati aanza mgomo wa kutokula ili kuishinikiza jamii na serikali kununua vifaa zaidi vya tiba ya saratani

Mji wa Ramadi watorokwa Iraq

                                                   MJi wa Ramadi wasalia bila watu

Zuma ataka uchaguzi kuahirishwa Burundi

                                                                              Zuma

Uandikishaji wapigakura kuanza leo Mbeya, Dodoma kesho.

         Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damiani Lubuva.

MWIMBAJI WA ‘KUCHI KUCHI’ ATOA SABABU YA UKIMYA WAKE

Mwimbaji wa kike wa Nigeria, J’Ordie.

MPIGA PICHA ATUMIA MIAKA 2 KUJIFANYA BIBI KIZEE ILI KUJUA WAZEE WANAVYOISHI

Kyoko Hamada katika mizunguko yake kama bibi kizee.

NHC YAFUNGUA RASMI KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA

Jumatatu, 18 Mei 2015

RICK ROSS ACHIMBWA MKWARA KUTUMIA PICHA ZA JAY Z

Rapa Rick Ross ‘Ricky Rozay’.
Akionesha baadhi ya nyaraka Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku (katikati),Kulia ni Msaidizi wa mkurugenzi huyo, Gallus Abedi na Ofisa Mipango, Edger Atubonekisye.

MKUTANO WA MASHAURIANO KUHUSU AMANI, UMOJA NA UTULIVU KUFANYIKA KESHO UKUMBI WA JULIUS NYERERE-DAR

Bw. Gilberto Benitez Zarate anayedaiwa kumbaka binti yake wa kambo na kumsababishia ujauzito.

BABA ALIYEMBAKA BINTI YAKE WA KAMBO AKAMATWA PARAGUAY

Bw. Gilberto Benitez Zarate anayedaiwa kumbaka binti yake wa kambo na kumsababishia ujauzito.

TASWIRA ZA RED CARPET KATIKA UTOAJI TUZO ZA BILLBOARD 2015 NCHINI MAREKANI


Lauren Jauregui, Ally Brooke, Normani Hamilton, Dinah-Jane Hansen na Camila Cabello wa Fifth Harmony wakiwa kwenye pozi.

STAA WA ZAMANI WA TENNIS, BOB HEWITT AHUKUMIWA MIAKA 6 KWA UBAKAJI


                                                              Bob Hewitt.

Jumapili, 17 Mei 2015

Indonesia yaombwa ikome kupima Ubikra

Indonesia imeshauriwa ikomeshe sheria inayowalazimu wanawake kuthibitisha ni mabikira kabla ya kujiunga na jeshi la taifa.

SAFARI YA TRENI YA DELUXE KWENDA KIGOMA YAAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU

Uongozi  wa Kampuni ya Reli  Tanzania  (TRL) unasikitika kuwataarifu abiria  wa treni ya Deluxe ya kwenda  Kigoma leo Mei 17, 2015 saa 2 usiku kuwa safari hiyo imeahirishwa  hadi kesho Jumatatu Mei 18, 2015 saa 2 usiku.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo sababu za kuahirishwa  zinatokana na ajali mbili mfululizo za treni za mizigo.

Ajali ya kwanza ilitokea asubuhi saa 1:30 maeneo ya Stesheni ya Ngeta mkoa wa Pwani na ya pili saa 5 asubuhi maeneo ya Stesheni  za Kinguruwila  na Morogoro!
Ajali hizo zimehusisha kuanguka kwa mabehewa manne ( Ngeta ) na kuacha njia behewa moja (Kinguruwila )! Treni zote mbili zilikuwa zikielekea bara!

Tayari  wahandisi na  mafundi  wa TRL  wako katika maeneo  ya tukio kwa ajili ya kazi ya kuyaondosha mabehewa yaliopata ajali na pia kukarabati njia ili ifunguliwe haraka na kurejesha mawasiliano ya njia ya reli katika hali ya kawaida.

Kutokana na uzito wa kazi hiyo ya ukarabati njia ndio sababu kuu iliyopelekea safari ya Deluxe iahirishwe hadi kesho usiku! 
Wakati huo huo taarifa imeongeza kusema kuwa ajali hiyo imeathiri  urejeshaji wa vichwa viwili vya treni ya Jiji ambavyo havotoweza   kufika Dar kwa wakati na hivyo kesho huduma ya treni ya Jiji haitokuwepo.

Utafiti:Mazoezi yatakuongezea miaka 5 zaidi

Daktari wanaswa wakisinzia kazini

Papa Francis amewatawaza Wapalestina 2

Waandamana Togo kupinga matokeo ya uchaguzi

Afrika Kusini yawatimua wageni 400

                         Afrika Kusini yawatimua wageni 400

Nkurunziza aonya kuhusu Al Shaabab

MBUNGE WA JIMBO LA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE MGENI RASMI MKUTANO WA HADHARA DAR

 Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Dk. Faustine Ndugulile akisalimia wananchi wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika jijini Dar es Salam.
 Mwalimu mstaafu wa Sekondari na Mjumbe Mwelimishaji wa Chama cha Mapinduzi  (CCM) na Mwenyekiti wa Wazazi Tua Moyo Ali Ahmad kwa jina maarufu mpemba wa Asili, akisoma shairi wakati wa Mkutano wa Hadhara ambapo Mgeni Rasmi ni Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile.
  Dk. Faustine Ndugulile  akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Kigamboni na Katibu Kata wa chama hicho kabla ya kuanza mkutano.
  Wananchi na wanachama wa Chama cha Mapindizi (CCM) wakishangilia wakati mbunge wao alipokuwa akipanda jukwaani katika Uwanja wa Tuwa Moyo Kigamboni.
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile akipanda jukwaani.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Kata ya kigamboni na Katibu Kata wa chama hicho akiongea na wananchi wakati wa mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Kigambo ni Faustine Ndugulile.
Mwenyekiti Rerikali ya Mtaa wa Tua moyo akifungua Mkutano huo.
wananchi wakifurahia jambo wakati wa mbunge wao Dk. Faustine Ndugulile alipokuwa akizungumza na wananchi hao.
  Dk. Faustine Ndugulile akizungumza na wanachi wakati wa mkutano huo na akiwaomba wananchi kujitokeza kwa wingi katika Daftari la Wapigakura wakati ukifika.
Wananchi na wanachama wakiwa katika umakini mkubwa katika kumsikia Mbunge wao.
Wanachama.
Wanachama wakimsikiliza Mbunge wao wakati wa Mkutano huo.
Mzee Muhamedi Selemani mwenye miaka 95,ambaye ni mlemavu wa macho akitoa malalamiko yake kwa mbunge, wakati wa mkutano huo,  anapokonywa mashamba yake na mwekezaji na akiomba asaidiwe.
Mamia ya wananchi na wanachama  wajitokeza katika mkutano huo.
 Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile akizungunza na  Mamia waliojitokeza   katika mkutano wa hadhara ulio fanyika Kigamboni  Dar es Salaam jana.
Wanachi wakiwa katika mkutano huo wakifatilia maongezi ya Mbunge wao  Dk. Faustine Ndugulile, wakati wa mkutano wa hadhara ulio fanyika Dar es Sallam jana.
Mwanajeshi Mstaafu wa (TPDF) Said Ngoya akitowa pongezi kwa mbunge.
Dk. Faustine Ndugulile akisoma majina ya vikundi  ambavyo jumla  kumi na mbili.
Dk. Faustine Ndugulile akitimiza ahadi yake kwa vikundi kumi na mbili vya ujasiliamali ambavyo kila kimmoja kimepata pesa taslim.
Dk. Faustine Ndugulile akizawadiwa sare ya kitenge na muweka hazina wa kikundi cha Jitegemee Vikoba Group Happiness mfinanga wakati walipokuwa wakipewa mchango wao wapesa Taslimu kutoka kwa Mbunge huyo wakati wa mkutano huo (kulia) ni Mwenyekiti Tungi Kata ya Kigamboni Joram Msuya.
Dk. Faustine Ndugulile akisalimiana na Mkuu wa Kituo cha Kigamboni Jumanne Njoka baada ya mkutano kumalizika, amaba mkuu huyo wakituo alifika na wasaidizi wake kutowa ushirikiano wa usalama wakati wa mkutano wa Mbunge Ndugulile alipokuwa akizungumza na wananchi dar es Salaam jana.
Wanachi wengi walijitokeza kumsikiliza mbunge wao.
Dk. Faustine Ndugulile akipongezwa  na wanakikundi cha Jitegemee Vikoba Group wakati walipokuwa wakipewa mchango wao wapesa Taslimu kutoka kwa Mbunge huyo wakati wa mkutano huo.