Diwani wa viti Maalum
kata ya Malampaka Pili Ndimila (mwenye gauni la mabaka ya njano na mke
wa Mbunge mwenye koti jekundu Mama Mashimba) wakiungana na wanawake
wenzao kubeba mawe kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa chumba cha upasuaji
kituo cha afya Malampaka